Hahahaha sikuona hii [emoji348] bablai.. Mbishe niaje lakiniHa ha ha nipo bro,hawawezi nidaka wale,mapai wengi kuchanja ndio zao hahah wakishahandasika ndio wanaanza kuzingua mtaa hahaha
Salama mkuu
Kwema mkuu
Hamlali tu [emoji134][emoji134][emoji134]
Fresh kabsa mzee,,tunapambana tu,,vp huko mzee?Hahahaha sikuona hii [emoji348] bablai.. Mbishe niaje lakini
Jah anabless aseeFresh kabsa mzee,,tunapambana tu,,vp huko mzee?
Piga kazi mkuuMaeneo ya makongo kwenye Jiji la Makonda nikifanya kazi fulani kwenye kompyuta,app ya JF ipo open 24/7 kila kazi inapokuwa inanichanganya,naingia JF kupata break na kutuliza akili alafu naendelea na kazi.
Jirani yako hapa 😂😂😂Maeneo ya makongo kwenye Jiji la Makonda nikifanya kazi fulani kwenye kompyuta,app ya JF ipo open 24/7 kila kazi inapokuwa inanichanganya,naingia JF kupata break na kutuliza akili alafu naendelea na kazi.
Wapimkuu nikazani wewe wa CHUGA.Jirani yako hapa 😂😂😂
Binadamu sio milima mkuu naweza kuwa jirani yako saa hii ila lindo la kesho nikawa sipo kabisa hapa TZ 😂😂Wapimkuu nikazani wewe wa CHUGA.
HahahaBinadamu sio milima mkuu naweza kuwa jirani yako saa hii ila lindo la kesho nikawa sipo kabisa hapa TZ [emoji23][emoji23]
Kabisa mkuu kwa muda wa wiki tatu zilizopita nilikuwa nimekanyaga JUBA,NAIROBi,A TOWN,na Sasa nipo kwa Makonda,ndo manake kamanda.Binadamu sio milima mkuu naweza kuwa jirani yako saa hii ila lindo la kesho nikawa sipo kabisa hapa TZ 😂😂
Uongo chief?Hahaha