Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Haya. Ngoja nianze kufunga na kuomba kabisa ili ukija unikute niko tayari kiroho...Nitakupitia asubuhi sana
Haya. Ngoja nianze kufunga na kuomba kabisa ili ukija unikute niko tayari kiroho...Nitakupitia asubuhi sana
[emoji23][emoji23][emoji23] wangehisi ni afisa usalama wa national paeks unatafuta majangili kwa kuwatega na tricks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KindaTeh Teh. ..undercover officer
Lakini wakazi wa Tanga wanadai wao wanaongea Kiswahili safi..Asikwambie mtu.
Kiswahili safi ipo Arusha tu [emoji41]Lakini wakazi wa Tanga wanadai wao wanaongea Kiswahili safi..
Kule Zanzibar nako wanadai wao ndio mabingwa wa Kiswahili...
Sisi uku wa Tanganyika wanatuona Kiswahili chetu hakipo kwenye mstari ulionyokaa..
Na Wakenya huko Lamu na Mombasa nao wanadai chao ndiyo pyua...Lakini wakazi wa Tanga wanadai wao wanaongea Kiswahili safi..
Kule Zanzibar nako wanadai wao ndio mabingwa wa Kiswahili...
Sisi uku wa Tanganyika wanatuona Kiswahili chetu hakipo kwenye mstari ulionyokaa..
Hasa baada ya kupiga cha Arusha [emoji16][emoji16][emoji16]Kiswahili safi ipo Arusha tu [emoji41]