JamiiForums Usiku wa manane
nipe mkuu ,,aisee kwenye jackpot niliweka mikeka 5,du yenye hit nyingi ilikuwa 3 kati ya 17,,,
hahaha,,, uchawi upo arifu.
3 ya 17 mzee baba acha kubet tu.

Kesho chukua

Palace na Liverpool.. Risk sio kubwa odds zinaeza kufika 4+ maana palace yupo away St. Mary's kwa Southampton
 
Wao bwana. ...sio mimi. ..
José anaazeeka sasa
Ohhhh alihitaji kweli kupumzika. Ole ameingia poa ila i am telling you kwa style amekuja nayo itawafanya mumuchukie akianza kufungwa.

Bora angeanza na inconsistency kisha aanze ku maintain as mda unaenda hapo sawa. Ila kuanzia high kama alivyoanza ni risk atakapo lose his mojo
 
Back
Top Bottom