Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Gobole ni over size kwako, chukua lipstick![]()
jambazi akikuona mrembo hata mission ya kuiba inapotea
Sent using Jamii Forums mobile app



usiku huu ataonaje sasaSent using Jamii Forums mobile app
Gobole ni over size kwako, chukua lipstick![]()
jambazi akikuona mrembo hata mission ya kuiba inapotea
Sent using Jamii Forums mobile app



usiku huu ataonaje sasaNo way unakuka nyoka umekua wachinawasha moto tumle mishkaki huyo ni chakula safi tu
Nahisi kwasababu sisi ni ndugu basi ipo kwenye DNA
Lindo jema wakuu. Naomba msisinzie msije mkanifanya nirudi tena kuwaamsha. Blessings...
View attachment 1006639
Nahisi kwasababu sisi ni ndugu basi ipo kwenye DNA
Hata kama kimekuwa twisted?. Jamaa anasema kuwa he was in serious pain![]()
ungekua wewe je!Chakula moja safi sana asee hiyo huwezi amini.
Usihofu dada utalala mda si mrefu
Oya mbona tupo lindo halafu mnatupa nyoka eneo la lindo, mimi na nyoka ni marufuku mtalinda wenyewe sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukiwa lindo siraha inakaa loaded kweli? Ukisinzia ukajifyatua bahati mbay?Mda wa lindo wajumbe. Kila mmoja ahakikishe silaha yake ipo loaded ili tuweze kufika asubuhi.
![]()
hivi huo mchezo ni wakweli au ni kama movies tu mjumbe? Maana nimeshajaribu kufuatilia kujua ukweli ila bado napata majibu mkanganyiko mwingilindo la leo mzuka sana naangalia na Royal Rumble kabisa hapa wrestling imenibamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu lindoni.. Kwani silaha kuwa loaded maana yake ni nini mkuu?Hivi ukiwa lindo siraha inakaa loaded kweli? Ukisinzia ukajifyatua bahati mbay?
Sent using Jamii Forums mobile app
cc ningendako 😂😂
Ni uigizaji tu mjumbe tho kwa kuwa kuna kurukaruka watu wanaumia baba la baba wwe nafuatilia kwa kuwa ni so entertaining mkuu, ni kama wanaoigiza moviehivi huo mchezo ni wakweli au ni kama movies tu mjumbe? Maana nimeshajaribu kufuatilia kujua ukweli ila bado napata majibu mkanganyiko mwingi