Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Ndiyo kazi yangu hiyo: Kuamsha walinzi



nmelindaaa wee lakini mfungaji alikua ni chaliifranciscoUmenifurahisha kulinda gate, nilijua maagizo yangu ulipuuzia kusimama getini
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo salama lakininmelindaaa wee lakini mfungaji alikua ni chaliifrancisco
Namshukuru Mungu Niko vyema sijui kwako wewe!
Hivi umesema TukUtane au tukItane hapa?
Kwema chief karibu lindoni
Naunga mkono hojaSiO mBAyA....![]()
Shukrani kiongozi. Hii meli ya kigiriki kwa leo acha iende. Akija captain Thad na Bbade naomba uwape salam zanguKwema chief karibu lindoni
Niaje Chaliyangu?
watazikuta chiefShukrani kiongozi. Hii meli ya kigiriki kwa leo acha iende. Akija captain Thad na Bbade naomba uwape salam zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran. ...Shukrani kiongozi. Hii meli ya kigiriki kwa leo acha iende. Akija captain Thad na Bbade naomba uwape salam zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shwari mamiloo umeshindaje?Niaje Chaliyangu?
Shwari mamiloo umeshindaje?