JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ni uigizaji tu mjumbe tho kwa kuwa kuna kurukaruka watu wanaumia baba la baba wwe nafuatilia kwa kuwa ni so entertaining mkuu, ni kama wanaoigiza movie [emoji688]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa kumbe ni uigizaji tu.. Nakumbuka miaka hiyo huo mchezo unaonyeshwa ITV ndio nilikua nafuatilia ila siku hizi wala siutaki kuusikia
 
86dcd105578d3b9ab17fd80e1cc9eb5b.jpg
wangapi wanamkumbuka huyu
 
Back
Top Bottom