Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,451
Itabidi nije kukuposa sasa muda unakwenda
Nsuyka sijui msuka
Nakumbuka dada kipindi kile nilikua mdogo sana bado nilikua naenda kutizama runinga kwa jirani
Nakumbuka nilivyokuwa nakuchapa fimbo unavyong'ang'ania kwa jirani kuangalia kideoNakumbuka dada kipindi kile nilikua mdogo sana bado nilikua naenda kutizama runinga kwa jirani
Million tu kwa dada yangu? Andaa na ng'ombe za kutoshaMilioni inaweza fika?
Million tu kwa dada yangu? Andaa na ng'ombe za kutosha
♂️ basi muoe mwenyeweNdio dada zetu wakichaga mnaowataniaga hawa..![]()
Jiongeze mkuu, tumia freebasicsNaona tunakaribia kuachana sio muda mrefu mchachuko kwenye simu inaishia kiaina
Hujui siku hizi mwanamke mwenye wowowo ana confidence kuliko mwenye degree?una degree!!?