Hata usipotumia chukua moto tu iweke ifuke moshi![]()



Mkuu upo single?
Natoka sebuleni nakunywa maji kidogo mdogomdogo naenda room sasa 13 megapixel nakulaani na vinyamkera viwe juu yako umentoa room kuja kuumwa na mbu sebuleni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zipo nyingi mkuu wewe jiongeze tuNtaotoa wap asee hata znapouzwa sipajui
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwanini unamlalamikia mwanaume mwenzako kuto kukutumia luku?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zipo nyingi mkuu wewe jiongeze tu
sawa mkuu ncje shawishika kuovuta sasa hebu niambie ina mzuka gan hio kitu?We piga mzee baba ila siku ya kwanza jaribu kujifungia ghetto maana reaction yake haziwi sawa kwa watu wote.sawa mkuu ncje shawishika kuovuta sasa hebu niambie ina mzuka gan hio kitu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ingependeza sana maana ungepata usingiz mzurNdio bwana heri ningekua na kifaa kando
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahaHahaha wanajua kabisa kuna chimbo sio za kuingia maana unaingia mzima ukitoka una pancha
NomaHahaha
Pakikucha tunafunga gate
Ni saa 3 asubuhi sasa. Au hiyo kukikucha ni kuangalia wapi?Pakikucha tunafunga gate
Huku kwetu bado ni usiku mkuu

Kama ni hivyo itakuwa sio fair, nashauri kila mtu apewe ufunguo wake. Atakeyewahi kwake kukucha anafunga gate upande wakeHuku kwetu bado ni usiku mkuu![]()
Hahaha hamna hii ni kama live event inatokea sehemu inabidi kufatilia kwa local time ya sehemu husika so unatakiwa ufate EAT katika huu uziKama ni hivyo itakuwa sio fair, nashauri kila mtu apewe ufunguo wake. Atakeyewahi kwake kukucha anafunga gate upande wake
Sent using Jamii Forums mobile app