JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wataalamu wa kukesha hii hali ya kusisimka nywele ndo nini au washaingia hawa watu wa usiku!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimetoka chumbani nimekuja sebuleni sasa naenda nje maana lichoo liko nje asee kweusii


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Viroboto wanatembea masikioni hadi usingizi umekata ,nimeapaka mafuta ya kuzuia mbu lakin wapi usingizi umegoma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487][emoji1487][emoji1487]huna mke mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom