Hahaha hakiwezi mzee baba ukiamka unakuta uzi umeunganishwa maana maudhui yake ni moja.Kumbe kuna kijiwe kikongwe aisee hebu tuone na hiki kama kitastawii!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
too much is harmfulMazoea tu sio tatizo kwangu
😂😂😂😂😂02:36AM watu wametelekeza post zao. Kiranja napita kuchukua roll call
Hahaha hakiwezi mzee baba ukiamka unakuta uzi umeunganishwa maana maudhui yake ni moja.
Hahah sana mzee,na vile kitaa hakina love na hawa jamaa itakuwa noma sanaEhh sasa umevunga zako kwako akija si unamwitia mwizi tu[emoji23][emoji1787]
Hahaha hakiwezi mzee baba ukiamka unakuta uzi umeunganishwa maana maudhui yake ni moja.
Ngoja wajumbe waje wakupangie lindo lakoUsingiz unagoma kabisa aisee cjui nfanyaje
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mda mwingine sio kwa kutaka ila ndio inatokea sasatoo much is harmful
Hahaha wanajua kabisa kuna chimbo sio za kuingia maana unaingia mzima ukitoka una panchaHahah sana mzee,na vile kitaa hakina love na hawa jamaa itakuwa noma sana
Washa ganja hapo lazima akimbie mwendo wa ngiri na hatakaa akanyage mchawi kwakoEti utajuaje kama mchawi kazama ndani kwako maana sipaelewi tu hapa ndani asee
Sent from my iPhone using JamiiForums
naielewa iyo situation lakini inatakiwa upambane nayoMda mwingine sio kwa kutaka ila ndio inatokea sasa
Washa ganja hapo lazima akimbie mwendo wa ngiri na hatakaa akanyage mchawi kwako
Najitahidi ndugu mlinzi. Unataka mnipoteze kwenye lindo?naielewa iyo situation lakini inatakiwa upambane nayo
Hata usipotumia chukua moto tu iweke ifuke moshi [emoji23][emoji23][emoji23]Wengine atujawah jaribu tumia hio sigara kubwa mkuu!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila kupata usingizi kuna umuhimu wake jaman
Mkuu upo single?Wengne tunagaragara tu hapa
Sent from my iPhone using JamiiForums