manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Hahahaa Haya mzeeHahaha hamna hii ni kama live event inatokea sehemu inabidi kufatilia kwa local time ya sehemu husika so unatakiwa ufate EAT katika huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa Haya mzeeHahaha hamna hii ni kama live event inatokea sehemu inabidi kufatilia kwa local time ya sehemu husika so unatakiwa ufate EAT katika huu uzi
Register ilikua haionekaniMapema sana asee. Naona leo watu wanachelewa kuwahi kwenye post zao.
Hakunaga roll call?
Hivi umesema TukUtane au tukItane hapa?Nimeona wale tuliokosa usingizi ama kustuka usingizini usiku mnene kuanzia saa saba na kuendelea tuambizane nini kimekukosesha usingizi au nini kimekustua usingizini na je unafanya nini muda huu!
Binafsi maisha ya upweke na ukosefu wa ajira unanitia mawazo saiz nmekaa nakunywa tu maji yangu ya kisima hapa angalau nmepiga safari za chooni mbili na kurudi hapa kwenye kochi...
Wengine ungeni tela!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Niliacha maagizo kwa felister kwamba acheki gate na madirisha maana usingizi ulinizidi uwezo wa kuhimiliUkishtuka gate limefungwa
Kwanini hukuleta gomba lindoni watu tusilaleHahah mapai watakupa msala,ushushiwe ngaramtoni tena
Umenifurahisha kulinda gate, nilijua maagizo yangu ulipuuzia kusimama getini02:23 sijalala [emoji87][emoji87]na dalili Sina [emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima utakua unaufidia mahali, usingizi hauna adabu yani piga ua lazima ukikaa mahala ulipe deni la usingiziDuh aseee yani unashanga wakati mwenzako napitisha siku hadi tatu bila kulala kabisa
Hapana mkuu, wakati nachapa usingizi ilikuwa lindoni ni mapema, naamka kulinda najikuta saa 3 asubuhi upande wa geti la mashariki. Nikicheki upande wa geti la EAT wapo busy lindoni