Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,885
- 51,711
Acha tu mkuu, una k vant hapo nikipiga nitakua poa sana mamizuka ya kutoshaHahaha ni hatari sana pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu mkuu, una k vant hapo nikipiga nitakua poa sana mamizuka ya kutoshaHahaha ni hatari sana pia
Hizo situmii labda nikupasie shada umokeAcha tu mkuu, una k vant hapo nikipiga nitakua poa sana mamizuka ya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe cha Arusha baba la babaHizo situmii labda nikupasie shada umoke
Hahaha be positive man. Humwamini mama Juma?Ukweli nimemiss familia yani nipo lindoni lakini naiwaza familia hasa mama juma usikute kuna kijamaa kinatandika mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije uka desert post sasa ukae mpaka mda wa kufunga
Hawa watu ukiwa nae karibu ndiyo wako ila ukisogea mita100 sio wako, sasa inafikirisha anaweza akawa anagongwa mzee baba inatia hasiraHahaha be positive man. Humwamini mama Juma?
Muda huu ndiyo poa karibia kuna kucha leo lindo limeenda vizuri japo nimesinzia kidogoUsije uka desert post sasa ukae mpaka mda wa kufunga
Hamna mkuu kuwa positive, unajua mambo mengine tunajitakiaga wenyewe kwa kujiombea. Mwamini tu kwasababu sio wote wapo kama hivyo.Hawa watu ukiwa nae karibu ndiyo wako ila ukisogea mita100 sio wako, sasa inafikieisha anaweza aka ana gongwa mzee baba inata hasira
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikirudi nitaenda pima oil nione kama imetembea KM ngapiHamna mkuu kuwa positive, unajua mambo mengine tunajitakiaga wenyewe kwa kujiombea. Mwamini tu kwasababu sio wote wapo kama hivyo.
Hahaha sio akili zako hizi naona shada nlokupasia ishaanza fanya mambo
Hahaha sio akili zako hizi naona shada nlokupasia ishaanza fanya mambo
Akili za shada zinasema ukweli Chuma cha mjerumani hiki mkuu. Hapa huwa nawachekiiii alafu nasema 'hiiiiiii'Bob umetisha umekamata gobole husinziii kweli serikali haipotezi mshahara haata cent kwa kukulipa wewe chaliifrancisco
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri ya mafanikio yako mkuu nipeChuma cha mjerumani hiki mkuu. Hapa huwa nawachekiiii alafu nasema 'hiiiiiii'
Sasa nimejiunga hapa.
Hamna siri kubwa kama kuji tune akili na kuwa na nia katika kile unataka kufanya











ndiyo afande
mguu pandeee
mguu sawaaaa
Mbele tembeaaa, kila mtu akae kwenye lindo lake.