Mambo?Nakuja ....!
Mambo?
Salama kabisa. ..niko lindoni na my brosMzuka sana .... Uhali gani bibie ?
Salama kabisa. ..niko lindoni na my bros
Wivu weka pembeni. ..njoo kaziniNakuona,ila hlindi nyinyi mnazuga...
Wivu weka pembeni. ..njoo kazini
Susa. ...wenzako watakulaSIJI ....!
Susa. ...wenzako watakula
Haina kwere. Unadoro saa hii?Weekend njema Waungwana...
Kiranja chalii baadae.
Haina kwere. Unadoro saa hii?
Poa pumzika basi. Naona lindo naachiwa mwenyewe asee ngoja nitoke post nikazurure huko nje kwenye jukwaa zingine.Naona macho na ubongo havi semezani...
Poa pumzika basi. Naona lindo naachiwa mwenyewe asee ngoja nitoke post nikazurure huko nje kwenye jukwaa zingine.
Adios, buenas noches[emoji120][emoji120][emoji120]
Nitaongea na kamati wampe muongo zoo..Chumchang Changchum amekutupa...alitakiwa akupe mwongozo
Unahatarisha maisha. Ukinyang'anywa silaha je?
Nilikua nachungulia jicho moja niliita plasta nyusi za jicho moja....Unahatarisha maisha. Ukinyang'anywa silaha je?
Hahaha ni hatari sana piaNilikua nachungulia jicho moja niliita plasta nyusi za jicho moja....
Sent using Jamii Forums mobile app