Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Ukiranja wako. ..unautumikia vyema. ..hujalala kabisa Leo na keshoEehh nikajua wanakamati mnalifahamu hilo!
Ukiranja wako. ..unautumikia vyema. ..hujalala kabisa Leo na keshoEehh nikajua wanakamati mnalifahamu hilo!
Sio mbaya hakijaharibika kituHapana,wala sikuwa nalifahamu hili mzee
Ubarikiwe ChalianguUsihofu ingekuwa tulitegemea hapo kidogo lazima tingekuwa wakali ila kama kila kitu kimeenda poa ni jambo jema. Maisha marefu sana kwako.
Hapa ni siku ya pili sasa. Zikifika nne nachukua off day mtu ashike kiti nipumzike [emoji23][emoji23][emoji23]Ukiranja wako. ..unautumikia vyema. ..hujalala kabisa Leo na kesho
[emoji120][emoji120]Ubarikiwe Chaliangu
Kweli chiefSio mbaya hakijaharibika kitu
Sikuwa nafahamu kiukweliKujifanya hujui....
Poa tu
Naomba ukiwa off na mimi niende....ukanifundishe ile lugha yetuHapa ni siku ya pili sasa. Zikifika nne nachukua off day mtu ashike kiti nipumzike [emoji23][emoji23][emoji23]
Kashata zipo?Nimekuja na kahawa leo .... Mjongee hapa nilipo .
Hakija haribika kitu. ...tuko pamoja badoSikuwa nafahamu kiukweli
Hiyo safi kupitishia usiku lindo litoboeNimekuja na kahawa leo .... Mjongee hapa nilipo .
Naruhusiwa????Nimekuja na kahawa leo .... Mjongee hapa nilipo .
Swali la msingi. Hivi zipo ambazo hazinaga sukari?Kashata zipo?
Kashata zipo?
ya mkono mmoja leoLeo hakuna kashata,si unajua kashata ya usiku haina mbwe mbwe.
Naruhusiwa????