JamiiForums Usiku wa manane
Kitu moja jamaa walikua wananirusha handas ni wakikudaka wanakunyang'anya veve yako na machanjio alafu wanaanza wao kuchanja kitu yako.

Alafu wanakuweka kwenye pira wanazunguka na wewe mpaka usiku mida kama hii wanakusachi hawakuachii hata tenga ndio wanaku dump mfano wamekutoa mbauda unaeza kuwa dumped hata ngaramtoni
Unakuta wote wanaofany doria ni watumiaji, sasa wakikukamata kwanza wanaamini unao mzigo wa kutosha, na wakikosa lazima wakusumbue sana na pesa juu ukikosa kila kitu na ukawa mpole kuomba radhi kubali kupelekwa mbali na hom tu, bora ivo kuliko wakakurundike aysee.
 
Dah,wanaweza kuwa waliona wapo mitaa ile ile,,handasi tena
Hamna ndio njaro zao hizo. Dawa yao ilikua tukiwa fasi tunachanja miti tunakaa kwa formation hatukai kiree.

Yani kama mimi nimekaa naangalia magharibi basi chaliangu mmoko atakua tunaangaliana face to face. Na wengine ivo ivo.

Watching each other's back
 
Back
Top Bottom