JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

we ni shabiki wa chelsea na simba pia bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni shabiki wa yanga jmosi tulifungwa 1, wawakilishi wa nchi yetu kule Kongo wakafungwa 5, timu yangu Chelsea ikafungwa 2, timu ya mtaani kwetu ikafungwa 7 (kwenye ndondo cup) hivyo nilimaliza weekend nikiwa na kifurushi cha magoli 15 [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ulikuwa wa kurambishwa tuuuu!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni shabiki wa yanga jmosi tulifungwa 1, wawakilishi wa nchi yetu kule Kongo wakafungwa 5, timu yangu Chelsea ikafungwa 2, timu ya mtaani kwetu ikafungwa 7 (kwenye ndondo cup) hivyo nilimaliza weekend nikiwa na kifurushi cha magoli 15 [emoji24][emoji24][emoji24]
Ongeza na ya leo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom