Kwema?
Nimeipenda hii
Huku salama kabisa
Karibu.Nimeipenda hii


Inapendeza kuona imeisha salama japo kwa machungu kwa sisi wapenda kandanda!
Ndio hivyo mpira hautabiriki. Inabidi tusikate tamaa bado kuna mechi kadhaaInapendeza kuona imeisha salama japo kwa machungu kwa sisi wapenda kandanda!
eehhh yote inayotumia miguu na mikono


