JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Doktorii hayupo...saa 00:54
20190120_005245.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za usiku huu yani huku kuna nyota nyingi sana angani sjui huko kwenu
Ukiwa kijijini unaona nyota nyingi zaidi kwa kuwa anga inakuwa giza tofauti na hapa mjini mwanga ni mwingi kutokana na nishati mbalimbali

03:57
 
Back
Top Bottom