Nimeona. Gafla vidole vikawa vizito nikashindwa kutoa nenoUmeniona lakin kwenye avator?
[emoji23][emoji23][emoji23]acha uwongo bas
Kweli kabisa, hilo jicho sio la nchi hii[emoji23][emoji23][emoji23]acha uwongo bas
La nchi gani
Umeshakipata?Kuna kitu nimesahau ....!
Umeshakipata?
Rudi ukakitafuteBado.
Rudi ukakitafute
Kwani nimekwambia,nimeondoka ?
Teh teh
Njoo unisaidie kutafuta.
Ni kitu gani?
Nakujaje?Ukiitwa kwanza uje,sio unauliza uliza. We njoo kwanza.
Kwa miguu.Nakujaje?