JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimeota mama yangu amengatwa na nyoka sijui nimpigie simu ila usiku huu nitamstua na presha.
 
Watu wapanuliweee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante mkuu hapa nimefungulia Quan nasikiliza na kusoma yaani mimi ndoto bora niote mbaya ina nihusu mimi sio mama huwaga akili ina chukulia kama ni kweli vile Sina raha kabisaaa.
Ah,kumbe ni muslim uwe unasoma hata surat Al-Fatiha
 
Walinzi wenzangu inaonekana kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka mnalala saba badala ya kuimarisha sana lindo
 
Back
Top Bottom