Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Ha ha ha haNgoja niondoke hapa baa naona wamebaki wahuni tuu hawanywi Pombe ni pull table inachezwa bila kuisha...Sasa ole wake mtu ajichanganye
Ha ha ha haNgoja niondoke hapa baa naona wamebaki wahuni tuu hawanywi Pombe ni pull table inachezwa bila kuisha...Sasa ole wake mtu ajichanganye
U mzima bibie??
Wazee..usingizi umekata
Mzima Vipi wewe
Mkuu kwema
Poa sana,,upo macho kumbe nmeona lindo lipo kmya snaMzima Vipi wewe
Poa sana,,upo macho kumbe nmeona lindo lipo kmya sna
Kumbe hl tatzo hata kwako pia,,mm pia sipat notifications nmelog out nkalog in tena nikjua ltakwsha lkn wapiHivi notifications haziji au ni simu yangu tu?
Kumbe hl tatzo hata kwako pia,,mm pia sipat notifications nmelog out nkalog in tena nikjua ltakwsha lkn wapi
Shukran,,pole piaOkay pole nawe.
Shukran,,pole pia