fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
Ha ha ha...ndio maana watu huibiwa sana kipindi hikiTuko likizo
Ha ha ha...ndio maana watu huibiwa sana kipindi hikiTuko likizo
Mamie..tukutane mida ya wanga leo humu nimevutiwa na uwepo wakoNa ayatul Kursi.
Hujambo ndugu yangu?
Na ayatul Kursi.
Hujambo ndugu yangu?
Upo wapi leo dada angu?
Sawa sawa mkuuWalinzi wa humu naona mnasahau sana majukimu yenu. Ila nimepita tu kuwakumbusha aisee,tupigeni kazi tuache kutegea.
Nipo ....
Ha ha ha aisee
Kwann baby brother sis?

,we nawe umepata dada ata kuwaringishia huwaringishii.Ha ha ha sawa dada angu,,nmefurahia kusikia hvyo btw hlo jina la baby brother nmelipendaSi ndio mdogo wangu mduchu mduchu,we nawe umepata dada ata kuwaringishia huwaringishii.
Ha ha ha sawa dada angu,,nmefurahia kusikia hvyo btw hlo jina la baby brother nmelipenda
Hv posa kujibiwa huwa inakaa baada ya muda gan??mf mtu kapeleka posa ile posa inajbiwa baada ya muda gan,,ikiwa tyl yule bnt kashaongea na wazaz wake



Hayo ni matatizo yenu watu wa iPhone. Android siye hatuna hilo tatizoHivi notifications haziji au ni simu yangu tu?






Hayo ni matatizo yenu watu wa iPhone. Android siye hatuna hilo tatizo![]()
.Vp kama ikichukua hadi miez miwl kimya tu,,ila binti yy hana neno kwakoHaina muda maalum inaweza chukua hadi wiki.
Usiniombe umeenda kuposa baby brother niendae abaya Na oud kwa ajili ya wifi yangu.![]()
Vp kama ikichukua hadi miez miwl kimya tu,,ila binti yy hana neno kwako
Ha ha ha ngoja kwanza tujibiwe lovly sister
Ah,kumbe huwa hvyo,,bhasi sawa sisterItakua kuna process wanafanya,mara nyingi ikichukua mda wengine huwa wanachunguza kwanza mposaji ndio wakubali.
Jibu lazima upewe kama wamekubali au lah,vuta subra.
InshaAllah Allah akujaalie kheir Baby brother.