Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
NzuriHabariiiiiiii
NzuriHabariiiiiiii
Wamepumzika kidogo usiku mrefumbona sioni fujo mmeenda wapi wakuu? au mnalewa kwa vilevi vyenu vya kileo?
wengine wanalewa hukoooWamepumzika kidogo usiku mrefu
AiseeeI just want to marry a crazy girl that would wake me up at 1am and tell me we forgot to pick the kids from school and we’ll just laugh about it
@Thad huyo mtu anaitwa Cole WilliamsShoga angu carbamazepine naomba unitambulishe kwa huyu mtu
Zamani sana sijaona salam yako mrembo....Nzuri
Mbona kama umenijibu kwa gubu?@Thad huyo mtu anaitwa Cole Williams
Mengine atakuja kujielezea mwenyewe

Za asubuhikumekucha....
Wala hata si hivyo bestie angu,ngoja nimwite vizuri aje nikutambulisheMbona kama umenijibu kwa gubu?![]()



salama u mzima wwZa asubuhi
Kuna kitu nilisahau humu .....


Hapo sawa maana niliogopa nikajua kuna mgongano wa kimaslahi!Sijambo best!salama u mzima ww