Nzuri tu farkhina
Vyema kuskia ivo.
Wapo wanalima, mavuno baada ya miez tisa
Kwema bro wangu
Muda wa kupumzika huu
Haya night night.
Na kwako pia, uote ndoto nzuri ee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shangazi wewe,,unakuja wakat wa mavuno tu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] shangazi nipo nije kubimba [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shangazi wewe,,unakuja wakat wa mavuno tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi bhana,kuna mavuno mengine sioEnhe [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi bhana,kuna mavuno mengine sio
Hahahahha nakuona shangazi unavyotoka ndukiHahahhah hayo siyo mie siyahisabu [emoji13] nisijiongezee madhambi bure[emoji853]
Nipo crush wangu carbamazepineMzungu upo?
Nipo crush wangu carbamazepine
Hakuna wa kuniteka zaidi yakoKunitoroka nayo??
Au ulitekwa na wewe??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha weeHakuna wa kuniteka zaidi yako
Nikikutoroka lengo nijue kwa kiasi gani ni vigumu kuishi mbali nawe [emoji87]