Hujambo?
Thijambo,shikamooo !
Sawa
Sawa ndio kiitikio baada ya salamu au ?
Najibu nini sasa? maana sikuelewiii
NimekumissZa asubuhi
Kwetu sisi waswahili "Shikamoo" ni maamkizi kuonyesha heshima na adabu. Ukiambiwa "Shikamoo" unajibu "Marhabaa"
Nataka nianzishe mada hapa yenye sifa ya "Ukati na kati" ....!
Nashukuru kwa maelekezo....kesho uje tena
Ni Kiswahili hiki?
Ehhhhh nakuja unifundishe kiswahiliTena Kiswahili chepesi sana ambacho kwacho kila mswahili anakijua.
Napita
Nije wapi tena ?
Uje kunisalimia,,,nikujibu ipasavyo?
Wapi huko ?
Ehhhhh nakuja unifundishe kiswahili
Nimekumiss zaidiNimekumiss