Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,268
mzima?01:23
mzima?01:23
HiiiiiYna2 akionekana mniite please [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 952755
mzima?
Nataka nije nikutolee posa dada mpendwa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nakuona Mary kiol..
single or taken?
Analazimisha uanaume huku ni binti [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi nikajua unataka mtoto wangu wa kiume ??
Ila Dada Vinci hapo ndipo unanishinda.
Ukiruhusu aolewe kitakachozaliwa ni product ya ajabu itakuwaHuyu binti siwezi kuruhusu aolewe na mtoto wangu wa kiume....
Amevurugwa sana, anawez akaji kutusumbua baadae
Hiiii...Jana hukuwepo aisee. Na avatar zako zinachanganya balaa. Ukichoka na hizi avatar za kupita basi siyo vibaya kurudisha ile orijino - ile niipendayo sana [emoji7][emoji7]Hiiiii
Wa afya, usingizi ndio umegoma hapa.Mzima sijui wewe
Unaweza pia kusoma riwaya tamu ya Mohammed Said Abdula (Bwana MSA) iitwayo Siri ya Sifuri. Imeelezea dhana na thamani ya sifuri kwa ufasaha sanaValue of zero
View attachment 953860
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji120][emoji120]Hiiii...Jana hukuwepo aisee. Na avatar zako zinachanganya balaa. Ukichoka na hizi avatar za kupita basi siyo vibaya kurudisha ile orijino - ile niipendayo sana [emoji7][emoji7]
Afadhali [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa mwendo huu natangaza rasmi kuwa wanyantuzu nimewashindwa, kuanzia leo nitarukaruka na wandengereko na wazaramo wenzangu[emoji23]
Hiiii...Jana hukuwepo aisee. Na avatar zako zinachanganya balaa. Ukichoka na hizi avatar za kupita basi siyo vibaya kurudisha ile orijino - ile niipendayo sana [emoji7][emoji7]
Sema bro.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji120][emoji120]
Bro ni wewe huyu.
Jisikie huru.
Kwema lakini Farkhina?
Huku salama kabisa.Kwema Vipi za huko.
Njema sana.Sema bro.
Za siku kadhaa?
Miye niko salama bro.Njema sana.
Nimefurahi kukuona.Mzima?