JamiiForums Usiku wa manane
Miye niko salama bro.

Ni pilika pilika tu na majukumu.

We hujambo? Masela wa kile kijiwe chetu hawajambo?
Naelewa bro,

Kijiweni kwema.Ntakufikishia salamu .Ila kuna sintofahamu imetanda itabidi uite press kuweka mambo sawa.In short hakuna mwenye uhakika kama ni wewe uliyekua unatoa likes hapa kati
 
Naelewa bro,

Kijiweni kwema.Ntakufikishia salamu .Ila kuna sintofahamu imetanda itabidi uite press kuweka mambo sawa.In short hakuna mwenye uhakika kama ni wewe uliyekua unatoa likes hapa kati
Aliyekuwa anatoa likes ni mtekaji bro. Haya mambo ni magumu. Mimi siwezi kutoa likes kimya kimya. Nimenyang'anywa mpaka nywila aisee. Hata hapa naibia ibia tu. Cha muhimu tu ukoo unaendelea kupata heshima sana na hata kukua. Tumshukuru Mungu na nifikishie salamu zangu huko kijiweni. Nikimalizana na mtanange huu na kuachiwa nitarudi. Nawapenda sana !!!

#BringBackSYB#
#MtekwajiHuru#
#Ifyoudieyoudie#
#Youslapitandwatchitvibrateinslowmo#
#Heshimayaukoo#

a1c86324-9180-49af-87a7-435568810416.jpeg
 
View attachment 953923

That's my bro!!

tapatalk_1531942741591.jpeg
 
Unaweza pia kusoma riwaya tamu ya Mohammed Said Abdula (Bwana MSA) iitwayo Siri ya Sifuri. Imeelezea dhana na thamani ya sifuri kwa ufasaha sana
mkuu niko naipitia hii kitu, all facts related to zero jinsi ilivyopatikana na kuanza kutumiwa.. ahsante kwa mchango pia
 
Back
Top Bottom