Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
mzee gani mpaka saa sita hii hujalala au hujapata pipe leoYaani mabinti wa siku hizi hamna heshima, hivi unataka kuolewa na mwanangu halafu unanikebehi hivi ?
mzee gani mpaka saa sita hii hujalala au hujapata pipe leoYaani mabinti wa siku hizi hamna heshima, hivi unataka kuolewa na mwanangu halafu unanikebehi hivi ?
Usipende usingizi usije ukawa masikini; Fumbua macho yako nawe utashiba chakula.mzee gani mpaka saa sita hii hujalala au hujapata pipe leo
ooooh kuna ile verse inayosema mvivu uatalala mpaka linii kwenye kitabu cha mithali nimesahau kidogo.. but how mzee kama ww muda huu unapiga misele jfUsipende usingizi usije ukawa masikini; Fumbua macho yako nawe utashiba chakula.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~Methali 20:13~~~~~~~~~~~~~~
Mtembea bure siyo sawa na mkaa bure...ooooh kuna ile verse inayosema mvivu uatalala mpaka linii kwenye kitabu cha mithali nimesahau kidogo.. but how mzee kama ww muda huu unapiga misele jf
mkuu ntwara utanipeleka lini aiseeMtembea bure siyo sawa na mkaa bure...
Good night to you too bro.Good Night People.