Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,016
- 8,762
wapotezee waruke ka mazuzuuuuNdo nimepiga goma la king monada.. Watu mzuka sana na mitungi..
wapotezee waruke ka mazuzuuuuNdo nimepiga goma la king monada.. Watu mzuka sana na mitungi..
Lugha itakuwa ni tatizo lako la mwisho. Tatizo lako la kwanza litakuwa kupika ule ugali mgumu wa Kisukuma wa kushibisha wanaume 10+Nyie wanyantuzu si mnifundishe hii lugha yenu? Au mnataka siku nikienda ukweni mnitete![]()
Nyie wanyantuzu si mnifundishe hii lugha yenu? Au mnataka siku nikienda ukweni mnitete![]()
weeeee weeeeeee
Naliho. Mamilimo gwike aliyo nalimhola. Ubebe ulimhola na bitogwa bhako?
hajaelewaTulimhole, tulinumba sebha....ginehe mamilimo
Mamilimo galichiza. Sebha Akujiwe nkoyiTulimhole, tulinumba sebha....ginehe mamilimo



hahaha mkuu watu mida hii wako tungi hawaelewi yaani wanataka magoma makali tuuwapotezee waruke ka mazuzuuuu
Shida yako ya kwanza itakuwa kuandaa huu mloNyie wanyantuzu si mnifundishe hii lugha yenu? Au mnataka siku nikienda ukweni mnitete![]()






mkuu wape wazid kukuaminiahahaha mkuu watu mida hii wako tungi hawaelewi yaani wanataka magoma makali tuu
ndio mkuu sasa naona popo mwingine kaingia
yaani nashusha makombora tuu mkuu.. na bado zile singeli zaomkuu wape wazid kukuaminia