Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,016
- 8,762
h haaa haa mkuu hizo mie ukipia natokaa 😉🙂🙂🙂🙂yaani nashusha makombora tuu mkuu.. na bado zile singeli zao
h haaa haa mkuu hizo mie ukipia natokaa 😉🙂🙂🙂🙂yaani nashusha makombora tuu mkuu.. na bado zile singeli zao
Bora, nakutafuta.
Ndo nimepiga goma la king monada.. Watu mzuka sana na mitungi..
nilikuwa nimepanga kulipiga mwishon.. lakin kwa heshima ya dadaangu Amu...Woyoo Dj pancho baby boy wakuache embu piga nyege nyege nyegezi, kwetu Mwanza nyegezi.
singeli weka ile ya shalo mwamba "utatoa hutoi? utavua huvui?yaani nashusha makombora tuu mkuu.. na bado zile singeli zao
Hahaha bila shaka mc Kumbe magoma makali unayajua??.. basi uwe dj tuu mama!..singeli weka ile ya shalo mwamba "utatoa hutoi? utavua huvui?
mguu mmoja chini mguu mmoja juu panua katikati " ha ha ha uone wadada wanavyoonesha kazi.
Mbona unamwita Zurri? Ndo zake hizi ama?
ha ha ha hapa nacheka sina mbavu huo wimbo.Hahaha bila shaka mc Kumbe magoma makali unayajua??.. basi uwe dj tuu mama!..
goma kali hilo lakini!.. na ulivoliongezea chorus sasa!...ha ha ha hapa nacheka sina mbavu huo wimbo.
Aisee. Wagonjwa wa huu ugonjwa wa kujitakia kumbe tuko wengi...Zurri Ndio ugonjwa wake......
Baridi imeanza kitambo....manyunyu kwa mbaliiiii
Salama kabisa...tunashukuru...Za masiku?
Mamboz powa...Salama kabisa...tunashukuru...
Soon nitakuwa Down Under
Mamboz zako?
Aisee. Wagonjwa wa huu ugonjwa wa kujitakia kumbe tuko wengi...
Poleni kwa baridi...ukichanganya na kimvua basi ni kunywa chai mfululizo...na kukumbatiana ili kupashana joto kama penguins....
Kabisaaaaa !!!Msimu wa kufyatua watoto.............
Mimi napenda musics sana aina zote ili mradi udamshi, nina nyimbo na cd zote za pro 24 djs, kibongo wapo vizuri.goma kali hilo lakini!.. na ulivoliongezea chorus sasa!...
Down under? Kuuchapa usingizi ama?
Usiku huu wa manane jua utalipata wapi? Au "jua" la kitandani?Kuota jua...nakimbia Baridi.