Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Weeh! Mwenyewe nimekuja tu Mara moja kumuangalia mtu chake Nina maagizo yakeAfadhali umekuja, ngoja nikuachie kirungu, kuna ndoto nzuri niliota mchana nataka nikaimalizie saivi.
Weeh! Mwenyewe nimekuja tu Mara moja kumuangalia mtu chake Nina maagizo yakeAfadhali umekuja, ngoja nikuachie kirungu, kuna ndoto nzuri niliota mchana nataka nikaimalizie saivi.
Ona alivyopotea kimuujiza..najua hb wangu hatarudi salamaHuyo ajuza mimi namjua vyema na silaha zake wala asikupe tabu.
Mkuu natoka sasa hivi..nisamehewe kwa leoAsante! Nakukabidhi lindo rasmi usisahau kufunga geti
Mkuu njoo kona ileMkuu natoka sasa hivi..nisamehewe kwa leo
Ona alivyopotea kimuujiza..najua hb wangu hatarudi salama
Ahaaa![]()
![]()
![]()
Acha woga, kazuga kupotea wakati HB kaaga ili akuvuruge saikolojia.
Huyu atakua kazidiwa na balimi bawaba za macho zikawa nzito.


Ahaaa![]()
Jiandae kukabizi limdoSawa mie huku porini muda bado
Sawa mkuu wa kaziMuda wa kujiandaa na kazi yetu ya ulinzi huu ,hima hima wakuu
Inamaana mkuu leo unaondoka mapema kiasi hichoWakija wasalimie
Wewe ambainaruti unasemaje????Nishampa kibuti sikunyingi hatujuani
Usinqoute mxiueWewe ambainaruti unasemaje????

Ukisema cha nini wenzio tunasema tutakipata lini tehUsinqoute mxiue![]()
Nmeona amekuita pm na ww ukaenda ....kabla ya kusema utakipata lin niulize kwann nmekiachaUkisema cha nini wenzio tunasema tutakipata lini teh
Mda tayari bossMbona mapema walinzi
Wewe ambainaruti unasemaje????
Usinqoute mxiue![]()



Inna hivi jana uliondoka na Nleterewa Nganengo au HB wa kigogo?