Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Nisubiri twende wote, sitaki kubaki hapa na Nleterewa Nganengo na InnaUsiku mwema. Mungu awatangulie na kuwalinda
Nisubiri twende wote, sitaki kubaki hapa na Nleterewa Nganengo na InnaUsiku mwema. Mungu awatangulie na kuwalinda
Hata wewe?![]()
kuwa na amaniMda badoUsiku mwema. Mungu awatangulie na kuwalinda
Ndio maana hayakudumu, kumbe wenye vijicho mlikuwa wengi![]()
Mlichonifanyia mtalipwa hapa hapa jukwaani

Haha uende nae wap ebu baki hapa huyo namlinda ujueNisubiri twende wote, sitaki kubaki hapa na Nleterewa Nganengo na Inna
Nakusubiri hapa kwenye konaNisubiri twende wote, sitaki kubaki hapa na Nleterewa Nganengo na Inna
Usinizibie rizki kwa watu wangu wema![]()
![]()
![]()
Ongea ukweli bhana, kwa vizinga ulivyo navyo hata bilget hachukui masaa 24.

Nakusubiri hapa kwenye kona
Haha tumtagie tu maana na yule kizee hacheleweshagi fursa kama hizi zikitokea
Leo umepata kahawa ya meru au kilimanjaroMda bado
WeeeeeNakusubiri hapa kwenye kona
![]()
![]()
![]()
Hapo ndio tatizo litakapotokea, kila mmoja atamwona mwenzake fursa, ngoja niombe ushenga kama nitapewa.


ya kwako yanakushinda utaweza ya wenzio?Kahawa muruaLeo umepata kahawa ya meru au kilimanjaro
Na kwako pia komredi, alamsiki.Usiku mwema. Mungu awatangulie na kuwalinda
Nini tenaWeeeee
Kweli kikulacho ki nguoni mwakoyamekufa

Inabidi unipatie na mimi kidogoKahawa murua