Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,931
- 141,897
What’s happening...
Best, naona umeamua kunitupia dongo [emoji23][emoji23][emoji23]You’re not depressed. you just don’t have any money.
Have money first, then decide if you're depressed or not.Best, naona umeamua kunitupia dongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiongozi kwema
Nyie viumbe hivi mnajua kama nimewamiss?[emoji848]Kwema kabisa
Nimeshapanga, njoo unipangie zamu yanguHebu pangeni foleni niwapangie zamu zenu leo
Mie bhuheri wa afya, nimekuham[emoji8]Mzima hofu kwako dear
I too wanna go PM with You, make a way.Mwaga tu!
Okay wacha tubakie hapa utatukuta!Nitarudi kufunga mageti
Tatizo ni hiyo lugha yako mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23]I too wanna go PM with You, make a way.
Unaniachaje mnyantuzu wangu[emoji6]Nitarudi kufunga mageti
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimeipenda hiyoTafuta hela ila ukizipata tunakuomba usipige nazo picha..Tunatanguliza shukrani..
Nimekuona ukinijibu siamini kama ni tatizo,Tatizo ni hiyo lugha yako mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23]