JamiiForums Usiku wa manane
“Stop hating on people during their winning season cause you don’t know what or how much they lost during their losing season”
 
No matter how beautiful a girl is or smart she is, There is a guy somewhere who is tired of her and just wants nothing to do with her
 
Gents, Before You Get Your Bonus... Remember They Once Said "Men Are Trash"
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Niko Itumbi Hotel magomeni nasimamia show hakuna kulala.
 
Usingizi umekatika baada ya mapaka mawili kuja kulilia dirishani kwangu, nimeyafukuza sahv yapo kwa jirani nasikilizia kwa mbali. Yanalia kama watoto
 
Mkuu hiyo show itakuwa ya kiwango cha chini, nguvu muda wa kushika simu na kupost humu umeutoa wapi?
Show isiyokuwa na mapumziko hiyo sio show ni vurugu lazma muda mwingine usalimie mashabiki
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom