Kwani ni nani amekumbia kuwa walinzi zamani walikua hawalali mkuuSiku hizi walinzi wanalala sana.
Wewe mbona mchoyo? maulid ya Mtume hujatualika walinzi wenzio.Kwani ni nani amekumbia kuwa walinzi zamani walikua hawalali mkuu
Wanachofanya hulala sana kabla ya kwenda kazini ndipo humudu kulinda
holiday imeanza my dear acha tulale.Siku hizi walinzi wanalala sana.
wageni waalikwa tulipiga vigeregere na vifijo.Walishuhudia ufunguziView attachment 943317
Ulinzi hamfai tena... Vitu adimu kasahau mualiko,Wewe mbona mchoyo? maulid ya Mtume hujatualika walinzi wenzio.
Hivi ni tayari usiku wa manane?Nafungua dimba
KabisaaHivi ni tayari usiku wa manane?
Kiongozi kwemaHaya haya mida yetu,mida yetu
Kwema kabisaKiongozi kwema
Vyema. Naona leo makorokoroni wamepitiwa na usingiziKwema kabisa
Vyema. Naona leo makorokoroni wamepitiwa na usingizi
Sogea nikubusu, sogea niku....kwa mbali mbali napita
