Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
![]()
![]()
Kukana ni mbinu mojawapo ya kukilinda kile ukipendacho.
Refer case ya Ibrahimu kujifanya kaka wa Sarai akiwa ugenini.
Petro na Yesu.
Nivumilie bhana angalau nifike mara ya tatu kama Petro.



Roho inauma lakini mwisho sekunde 30 ujue.Najua wivu huna ila karoho kanakuuma...haya mimi naenda zangu kulala tutaonana kesho kwenye maakuli ya Maulid

Wasalimie uendako
Hakika.Hata yuda alimka yesu mala tatu kabla kuku hajawika
Safk kabsa,,habari ya kwako??Poa boss,mzima ww
Vizuri kama leo upo boss,,kila kitu tayali,nasubiri kauli yako ya mwsho tuUkuje na leo basi nipo
Hahaha utani wa ngumi huu sasaEti Mzee baba alibet mil50 kaliwa😀😀
Boss uje usimwage mchele apaVizuri kama leo upo boss,,kila kitu tayali,nasubiri kauli yako ya mwsho tu
Nzuri kabisa boss wanguSafk kabsa,,habari ya kwako??
Kwema mkuu??Hakika.
Inapendeza kama u mzima,Tumshukuru Mungu kwa kutupa pumz hii bure.Nzuri kabisa boss wangu
AmeeeniInapendeza kama u mzima,Tumshukuru Mungu kwa kutupa pumz hii bure.