Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
[emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3]
Mbadala wa dawa upo bana ...hujawahi ambiwa umeze flamar badala ya panadol!!?
Sijawahi kukutana na dokta mwenye roho ngumu hivi kwakweli.
Nimeamini sio kila anaevaa koti jeupe ni daktari, wengine tuko kwenye tasnia yetu ya meat engineering.