Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
We mtoto hebu kuja kwanza unieleze mambo yako ya kuniponda mawe wakati nimekuachia mgongo
Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app

last man standingWe mtoto hebu kuja kwanza unieleze mambo yako ya kuniponda mawe wakati nimekuachia mgongo
Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app

last man standingSasa si ndiyolast man standing


kila nikikaribia kuchukua ubingwa lazima unitie doa!
mchukue yule ni chawote..habagui wala hachagui
Dadeki hapa ndo umethibitisha kabisa ulivyokuwa mwanachama mwaminifu hata kufa, nikiwa hai wakati unafukiwa itabidi niongeze na za kwangu 7.Kufa ni kufa tu, ufe mdomo wazi au umefumba mdomo...tani 7 za udongozinakuhusu![]()
Ahaah, ila usiondoke bila kupata angalau nusu funda la gahawa.Nimepita tu nitarudi tena kuwasalimia baadae.
Nmekumiss wwUnajua kupotea
Yaan saa tatu ndo unakuja sema last man arrgh au huko ndo kunakucha mida hyoSasa si ndiyokila nikikaribia kuchukua ubingwa lazima unitie doa!
Kwavile Thad yuko hapa itabidi nikunong'oneze sirini.Ndio boss nakuskiliza
Atafutae hachoki akichoka jua kapata...hata mtakatifu wako nammezea mate siku nyingi

Nmekumiss ww
Acha longolongo bwana njoo tulale zetu!
Maisha tu yamenipigaaaNimekuhamu pia... Ulijificha wapi
Maisha tu yamenipigaaa
Acha yakupige hata kidogo mwenzangu maana hakyanani hapo tu uko hivyo yakiacha kukupiga utatutenda!Maisha tu yamenipigaaa
Kama navyokutafuta mm.. nani kakuteka?Kuna mtu namtafuta mitaa hii