Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Marehemu wa aina hiyo hajawahi kuwepo duniani.Nishaandika wosia huo hivyo hakuna atakayepingana na kauli ya marehemu
Haki ya marehemu ni kaburi peke yake, we jipe moyo tu hapa.
Marehemu wa aina hiyo hajawahi kuwepo duniani.Nishaandika wosia huo hivyo hakuna atakayepingana na kauli ya marehemu
Naona unajizungusha tu si utaje kile cheo changu cha ukatibu mwenezi wa kamati ya....Aisee, siamini kwa roho yako ilivyo kama inaumaga M/Kiti wa move on.
Duuh, huu sasa ushakua mtihani.Siku ngapi tena, ndo nahamia kabisa. Kama kuna makandokando yako yafyekelee mbali yasijetuvurugia furaha yetu
Basi nitakuwa wa kwanzaMarehemu wa aina hiyo hajawahi kuwepo duniani.
Haki ya marehemu ni kaburi peke yake, we jipe moyo tu hapa.
Mmh leo una kauli tulivu sana, itabidi nikutafutie zawadi.Naona unajizungusha tu si utaje kile cheo changu cha ukatibu mwenezi wa kamati ya....
Kwa taarifa yako pamoja na cheo changu hicho ila bado nina moyo wanyama sio wa chuma
Nimekosa nauli ya kunileta huko, nitapa hivyo vitu ulivyonitajia?Duuh, huu sasa ushakua mtihani.
Siku ukija usisahau angalau mahindi gunia 30, maharage gunia 10, kuku wa kienyeji kama 50 na angalau Lita 40 za mafuta ya kupikia, maana muda utakaokaa naona utakua sio mfupi.



Kama kweli basi njoo tulaleMmh leo una kauli tulivu sana, itabidi nikutafutie zawadi.

Aisee, ngoja tuone.Basi nitakuwa wa kwanza
Sasa si bora ubaki huko huko, kuna mwenzako anataka kuhamia na kila kitu anacho na kubwa zaidi kasema na kodi atanilipa we unaleta nyodo!Nimekosa nauli ya kunileta huko, nitapa hivyo vitu ulivyonitajia?![]()
Tangulia nakuja, kuna mtu namsubiri nimkabidhi lindo.Kama kweli basi njoo tulale![]()
Vijana siku hizi wamekua wavivu sana, kitaalamu wanaita 'upungufu wa nguvu za lindo.'Safi Sana, vijana mko vzr ,imalisheni lindo
Tafadhali niko chini ya miguu yako (nakuchungulia) mrudishe yule 'chura' kwenye maji yake (avatar)Heylooooowwwwww



:-D


ya KuPakA