Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Naomba liftiNina siku sijaingia lindo naomba mwende mkalale na wapenzi wenu leo nitalinda mimi

Naomba liftiNina siku sijaingia lindo naomba mwende mkalale na wapenzi wenu leo nitalinda mimi

Hivi una ma bwana wangapi?!Njoo tulale kipenzi changu, usiogope yule bwana wangu wa mkopo hayupo, kasafiri.![]()
Aisee, ila ntajitahidi nihakikishe nakutoa kwenye hizo nyazfa, sababu viongozi wote wa hiyo kamati hufariki vinywa wazi.Uenyekiti siutaki nitabaki kuwa katibu mwenezi wa kamati ya roho mbaya
Panda hata usiulize twezetuNaomba lifti![]()
Wewe unawajua wangapi?Hivi una ma bwana wangapi?!

alafu sijamuona mda kweli Saint Ivuga nmekumiss kinoma nomaaKamsalimie saint Ivuga
Wengi na sahv unamnyemelea RondoWewe unawajua wangapi?![]()
Njoo tulale kipenzi changu, usiogope yule bwana wangu wa mkopo hayupo, kasafiri.![]()
Kufa ni kufa tu, ufe mdomo wazi au umefumba mdomo...tani 7 za udongozinakuhusuAisee, ila ntajitahidi nihakikishe nakutoa kwenye hizo nyazfa, sababu viongozi wote wa hiyo kamati hufariki vinywa wazi.

Nimepita tu nitarudi tena kuwasalimia baadae.Karibu
Hebu subiri kidogo kuna kitu nataka unisaidie tafadhali.Napitaaaa![]()
Atafutae hachoki akichoka jua kapata...hata mtakatifu wako nammezea mate siku nyingiWengi na sahv unamnyemelea Rondo
Ndio boss nakuskilizaHebu subiri kidogo kuna kitu nataka unisaidie tafadhali.
We mtoto hebu kuja kwanza unieleze mambo yako ya kuniponda mawe wakati nimekuachia mgongoWengi na sahv unamnyemelea Rondo
Hakika kwa level ya uzalendo uliyofikia, yafaa sasa tukupe ufunguo wa chumba cha siri chenye biological weapons.Nina siku sijaingia lindo naomba mwende mkalale na wapenzi wenu leo nitalinda mimi
Acha longolongo bwana njoo tulale zetu!![]()
![]()
![]()
Hivi unafikiri habari ya Samsoni na Delila sikuielewa sioe!
Atafutae hachoki akichoka jua kapata...hata mtakatifu wako nammezea mate siku nyingi

mchukue yule ni chawote..habagui wala hachagui