Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kuna mtu baada ya kuona kahawa vimeandaliwa na kashata kaja mbio hapa Nleterewa Nganengo hakuna share yako hapa








Kuna mtu baada ya kuona kahawa vimeandaliwa na kashata kaja mbio hapa Nleterewa Nganengo hakuna share yako hapa![]()




uchoyo huo,,kizuri kula na nduguyoNaomba tukakae wote bandani tena tukajifungie huko ili wenzetu wasitubugudhiDah,ngoja nirudi kibandani niendelee kusubiri muda wa lindo rasmi

Aisee, we ajuza una roho mbaya sana, imefika wakati sasa wakuchague uwe M/kiti wa kudumu wa kamati ya roho mbayaKuna mtu baada ya kuona kahawa vimeandaliwa na kashata kaja mbio hapa Nleterewa Nganengo hakuna share yako hapa![]()

Sina undugu na Nleterewa Nganengo mimi![]()
uchoyo huo,,kizuri kula na nduguyo
Nmemzoea chief,ondoa shaka kabsa![]()
![]()
Mzoee tu komredi, huyu uchoyo wake uko kwenye DNA.


Mungu unamjua?Imeandikwa usiape bure kwa jina la Mungu!![]()
Uchoyo umeniambukiza mwenyewe, sasa kula matunda yake![]()
![]()
Mzoee tu komredi, huyu uchoyo wake uko kwenye DNA.

KaribuJamani
Uenyekiti siutaki nitabaki kuwa katibu mwenezi wa kamati ya roho mbayaAisee, we ajuza una roho mbaya sana, imefika wakati sasa wakuchague uwe M/kiti wa kudumu wa kamati ya roho mbaya![]()
Uchoyo umeniambukiza mwenyewe, sasa kula matunda yake![]()
Njoo tulale kipenzi changu, usiogope yule bwana wangu wa mkopo hayupo, kasafiri.![]()
![]()
![]()
We najua pa kukukamatia, kuku wako manati ya kazi gani? mchele kidogo unakutosha.

