Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Unacheka au unatucheka?[emoji848]Hahahaha
Unacheka au unatucheka?[emoji848]Hahahaha
Fresh tu za kwakoMambo vp
Hensome mbona umetoa avatar yako bwana[emoji45]23:37
Leta kama tulivyoKahawa na kashata
Safi kabsa,za siku?Fresh tu za kwako
[emoji23][emoji23][emoji23]mpo wangapi??nipen idadi kamiliLeta kama tulivyo
Unacheka au unatucheka?[emoji848]
Za siku ni nzuri tunapambanaSafi kabsa,za siku?
Tupo 10 tu mpaka sasa[emoji23][emoji23][emoji23]mpo wangapi??nipen idadi kamili
Nafurahi kusikia hvyo!!ubarikiwe huko uliko.Za siku ni nzuri tunapambana
Nimetafsiri kwamba unatucheka, hasahasa mimi ndio unanicheka zaidi[emoji53]Hahahaha, inategemea umetafsiri vipi Mkuu
Shukrani ubarikiwe nawe popote ulipoNafurahi kusikia hvyo!!ubarikiwe huko uliko.
Shukran [emoji120][emoji120]Shukrani ubarikiwe nawe popote ulipo
Duh,hapana kwann nikucheke sasa? Na kwann uwe wewe ? Nimefurahi tu sijamcheka MTU hapo zaidi ya kufurahi alivyoandika mdauNimetasiri kwamba unatucheka, hasahasa mimi ndio unanicheka zaidi[emoji53]
Usijali bwana mi nakuzingua tu...ila nimefarijika kupata uhakika kuwa ulikuwa unacheka na si kutucheka[emoji8]Duh,hapana kwann nikucheke sasa? Na kwann uwe wewe ? Nimefurahi tu sijamcheka MTU hapo zaidi ya kufurahi alivyoandika mdau
Samahani km umeona hivyo
Huh! Huh! Hakika umethibitisha kuwa u mwaminifu mpaka kufa
Usijali bwana mi nakuzingua tu...ila nimefarijika kupata uhakika kuwa ulikuwa unacheka na si kutucheka[emoji8]