Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Uniletee zawadi nzuri nzuri eeeh!Hahaha....soon nakuja TZA kukuham sana.

Uniletee zawadi nzuri nzuri eeeh!Hahaha....soon nakuja TZA kukuham sana.



:-DAbee!
Huyo nimemlaza, usimwamshe atanisumbua tena mwenzionLeTeLewA

Siyo hivyo! Unaitika Jana na LeoAbee!
Mi Leo monitor!Huyo nimemlaza, usimwamshe atanisumbua tena mwenzio![]()
Mwitiko huo ulikuwa enzi hizo sio enzi hizi za hapa kazi tuSiyo hivyo! Unaitika Jana na Leo
Haya endelea kuita majina, maadam nimeshaitika jina langu wacha niondoke zanguMi Leo monitor!
Nitakuandika mtoro shauri lakoHaya endelea kuita majina, maadam nimeshaitika jina langu wacha niondoke zangu
.Mkuu hayo uliyoyasema kuhusu pesa, nyumba na gari ni ya kweli au unaturusha tu roho watoto wa wanaume wenzio?![]()
Wewe si uliaga au...kitanda chako kina miiba?Nini lakini we mwanamke, mbona tunafuatilia hivi? Au unataka na kwa huyu tuanze competition?
Kitanda cha baridi, nakiogopaWewe si uliaga au...kitanda chako kina miiba?



Pambana tu na hali yako mama hayo ndio mambo ya kujifanya unajua kumbe unaungua na juaKitanda cha baridi, nakiogopa![]()