Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Aisee hapa hapa tena, hofu yangu siku hizi badala ya macho masikio ndo yamekosa pazia.Hapa hapa tu, si tupo sisi wawili tu? Au kuna mwingine atasikia
Aisee hapa hapa tena, hofu yangu siku hizi badala ya macho masikio ndo yamekosa pazia.Hapa hapa tu, si tupo sisi wawili tu? Au kuna mwingine atasikia
Uzuri wanguu wa kuzaliwa naoooo! Pesaa ninayoo ya kutumiaaaaa! Gari la kutembeleaaa ninalooo! Nyumba nzuri ya kulalaa ninayooooo!...... Wellah! Wellah! Zungusha mbegeee hadi iimbe tumboniiiiii!!!!!Yaani kuwa na genge la walinzi ka nyie raha sana. Nitaishi hadi miaka iniombe poooo!
Na wee siyo Muhenga hujuagi nyimbo zetu tukipiga mbege!!Mkuu hayo uliyoyasema kuhusu pesa, nyumba na gari ni ya kweli au unaturusha tu roho watoto wa wanaume wenzio?![]()
Basi kama masikio yao ndo hayana pazia basi tunong'onezane kwa isharaAisee hapa hapa tena, hofu yangu siku hizi badala ya macho masikio ndo yamekosa pazia.

Iko na togwa balaaa! Imedamshi![]()
![]()
Chepeo kwa chepeo naona hiyo mbege watakua wamechanganya na ugoro kidogo.





Khaaa! Kumbe ni maneno ya kilevi tu? Basi pita vileNa wee siyo Muhenga hujuagi nyimbo zetu tukipiga mbege!!


Mkuu hayo uliyoyasema kuhusu pesa, nyumba na gari ni ya kweli au unaturusha tu roho watoto wa wanaume wenzio?![]()
Umenikumbusha, hivi ile oda yangu ya mbege iliishia wapi mbona sijaletewa?![]()
![]()
Chepeo kwa chepeo naona hiyo mbege watakua wamechanganya na ugoro kidogo.
kwa hilo beleshi angalia usizidishe ulezi ,Uzuri wanguu wa kuzaliwa naoooo! Pesaa ninayoo ya kutumiaaaaa! Gari la kutembeleaaa ninalooo! Nyumba nzuri ya kulalaa ninayooooo!...... Wellah! Wellah! Zungusha mbegeee hadi iimbe tumboniiiiii!!!!!Yaani kuwa na genge la walinzi ka nyie raha sana. Nitaishi hadi miaka iniombe poooo!
Basi kama masikio yao ndo hayana pazia basi tunong'onezane kwa ishara![]()
Kwa mujibu wa pua zangu huyu hana pesa ila inavijichenji tena vya kubangaiza bangaiza![]()
![]()
![]()
Si ulisemaga pua yako ina uwezo wa kusensi harufu ya pesa hata iwe imechimbiwa ardhini?
Iruhusu ifanye kazi yake tafadhali.
Hukutimiza vigezo na masharti ujue.Umenikumbusha, hivi ile oda yangu ya mbege iliishia wapi mbona sijaletewa?
Sema 'suu'![]()
![]()
Tatizo ukishaanza kuvaa mawani lugha ya ishara inakupa tabu sana![]()
We mwaga tu kuku wengi kwenye Mchele.
Vigezo gani hivyo?Hukutimiza vigezo na masharti ujue.

Alaah kumbe, ila ujue vijichenji navyo hela?Kwa mujibu wa pua zangu huyu hana pesa ila inavijichenji tena vya kubangaiza bangaiza
Njoo nikunong'onezeVigezo gani hivyo?![]()
Kweli hiyo mbege ya leo imekulewesha vibaya, wenzio wanachezea mshahara wewe unachezea kazi. Shauri yako ukitumbuliwa usirudi huku maana tusio na ajira ni wengiYaani bosi wangu anapua ndefu hiyo. Keshanusa eti nachezea kisimu jamani. Wee bosi hujui home sasa hivi ndo mida tunalinda wasimnahii yule tajiri wetu.. Hebu niache kidogo bhana!!! ... Kwanza kwetu barafu ziko kwenye friji siyo kama kwenu hata nje tu eti ni sehemu ya kutunzia nyama! ....