Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
No hapana boss hiki kijiwe kila mtu anaruhusiwa kupiga storiShwariii vipi nimeingilia story zenu sio,
No hapana boss hiki kijiwe kila mtu anaruhusiwa kupiga storiShwariii vipi nimeingilia story zenu sio,
Sasa si ndio maana nimesema uanze upya maisha tehWala sihitaji kuanza upya bali kuachana nayo![]()
Huyu apa jje'sBinti yupi huyo kaenda mwezi-asali?
Wengine fungate miaka miwili
Daaah haya banaNapasha nipige cha tatu!!



Huu kwetu saa tatu huezi kua last man kwa kuja saa tatuLast man standing![]()
Njoo nikunong'oneze ka kitu6:10pm

Nije chumbani au nikusubiri sebuleni?Njoo nikunong'oneze ka kitu![]()
Hapa hapa tu, si tupo sisi wawili tu? Au kuna mwingine atasikiaNije chumbani au nikusubiri sebuleni?





Yaani kuwa na genge la walinzi ka nyie raha sana. Nitaishi hadi miaka iniombe poooo!Mkuu naona unakiuka masharti ya lindo kisa mrembo wa MMU.nipo lindo tena
ngoja nikafanye patrol MMU



kuja pande hii acha kuwa unanitegea nikikupa mgongo unaninyuka za fasta!

:-DMkuu hayo uliyoyasema kuhusu pesa, nyumba na gari ni ya kweli au unaturusha tu roho watoto wa wanaume wenzio?Uzuri wanguu wa kuzaliwa naoooo! Pesaa ninayoo ya kutumiaaaaa! Gari la kutembeleaaa ninalooo! Nyumba nzuri ya kulalaa ninayooooo!...... Wellah! Wellah! Zungusha mbegeee hadi iimbe tumboniiiiii!!!!!Yaani kuwa na genge la walinzi ka nyie raha sana. Nitaishi hadi miaka iniombe poooo!
