Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
'Soo'Sema 'suu'
'Soo'Sema 'suu'
Kweli hiyo mbege ya leo imekulewesha vibaya, wenzio wanachezea mshahara wewe unachezea kazi. Shauri yako ukitumbuliwa usirudi huku maana tusio na ajira ni wengi
Kwa nyakati zile hizo shekeli mbili zilikuwa na thamani au umesahau kuwa ulilipa mahari senti tano tu na ukaonekana kidume miaka ile ila si kwa sasa!Alaah kumbe, ila ujue vijichenji navyo hela?
(Nimemkumbuka yule mjane aliyetoa shekeli mbili na akapata kibali mbele za Mungu kuliko matajiri)
Mbona unapindisha maneno,nimekwambia sema 'suu''Soo'
Tokaa na hawa jamaa zako wenye pua za kugusa ugali wamenichosha. Wanaanza kutuuliza kama nchi yetu imeruhusu wazungu kugombea U prezidaa eti wanafikiri Magu ni Muingereza!Kweli hiyo mbege ya leo imekulewesha vibaya, wenzio wanachezea mshahara wewe unachezea kazi. Shauri yako ukitumbuliwa usirudi huku maana tusio na ajira ni wengi
Sitaki, yaani kweli wewe ni wa kunitelekeza baada ya kukusimulia yale masahibu yalonikuta wiki iliyopita?Njoo nikunong'oneze
Tafadhali usinizeeshe kiasi hicho, mimi bado kijana mbichi kabisa, tena nikivaa unifomu bila hata kitambulisho nalipa 200.Kwa nyakati zile hizo shekeli mbili zilikuwa na thamani au umesahau kuwa ulilipa mahari senti tano tu na ukaonekana kidume miaka ile ila si kwa sasa!

Jamani mi mbona inanileweshaga? Au nauziwaga fake?![]()
![]()
Kwa mara ya kwanza nimesikia mbege inalewesha.

Sitaki, yaani kweli wewe ni wa kunitelekeza baada ya kukusimulia yale masahibu yalonikuta wiki iliyopita?
Ama kweli 'MLA NAWE HAFI NAWE BALI MZALIWA NAWE'
Huonekani kijana kwa kuwa eti u kijana bali umedumaa kiasi kwamba uzee wako hauonekaniTafadhali usinizeeshe kiasi hicho, mimi bado kijana mbichi kabisa, tena nikivaa unifomu bila hata kitambulisho nalipa 200.![]()



Umesaha mlivyonimwaga mvinyo wangu sio?![]()
![]()
![]()
Masahibu gani hayo tena?
Hivi umeniambia 'niseme' au 'niandike'?Mbona unapindisha maneno,nimekwambia sema 'suu'
Jamani mi mbona inanileweshaga? Au nauziwaga fake?![]()
Huonekani kijana kwa kuwa eti u kijana bali umedumaa kiasi kwamba uzee wako hauonekani![]()

Ohooh hili suala ni nyeti tutalizungumza tukiwa wawiliUmesaha mlivyonimwaga mvinyo wangu sio?

Nakuja muda sio mrefu, usijisahau ukafunga mlango.Jamani nilikuwepo




Hahaha....soon nakuja TZA kukuham sana.Nimekuham sana