Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kwakweli nimekuachia kiroho safi kabisa, ila nakutahadharisha, usije ukabweteka ukidhani umebaki peke yako...... "NGOJA NIKAE KIMYA"Alikufanya nini tena mrembo wangu? Ila mimi nimefurahi tu kwamba competitor umejitoa









