Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Nimekumiss kipenzi japo umeamsha kaugonjwa kangu ka kucollapse baada ya kunitelekeza[emoji1751]Wasikilize tu aisee!
Nimekumiss kipenzi japo umeamsha kaugonjwa kangu ka kucollapse baada ya kunitelekeza[emoji1751]Wasikilize tu aisee!
Kwa hiyo siries ndio unaangalizia hapa sioHa haa mkwe ile series uliniletea sijamaliza
[emoji53][emoji53][emoji53] usinitajie huyo mtu, sitaki kukumbuka alichonitenda. Hata sijui kapotelea wapi labda kajiteka kama.......!Hivi @Samaritan yuko wapi eti
Jiangalie tu utagunduaKwani nimekuja kwa style gani jamani?[emoji85]
Nimekumiss kipenzi japo umeamsha kaugonjwa kangu ka kucollapse baada ya kunitelekeza[emoji1751]
Baada ya kufulia na kukosa kabisa hela ya kununulia nimeamua kuachana nayo!Unaanzaje kwanza kuiacha
Kwa hiyo siries ndio unaangalizia hapa sio
Mkwee unafanya gani hapa usiku wote huu
Kumbe nyie ni mtu na mkwewe!?[emoji848]Ha haa mkwe ile series uliniletea sijamaliza
Hana lolote yule, nimegundua wewe ndio unifaae kwani "ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKWISHA"Hajambo mwenye kisu kikali?
Amina. Karibu gah'wa mkuuNapita tu salama wakuu ,usiku mwema tunalinda kibarua mungu awalinde wote muione asubuhi.
Kumbe nyie ni mtu na mkwewe!?[emoji848]
Kwa kweli mimi nimejiona kama nimekuja kiupole kabisaJiangalie tu utagundua
Wivu sina, ila roho inaumaNampenda sana mkwe!
Mungu anakuoaBaada ya kufulia na kukosa kabisa hela ya kununulia nimeamua kuachana nayo!
"SIZITAKI MBICHI HIZI"
Kwa kweli mimi nimejiona kama nimekuja kiupole kabisa
Alikufanya nini tena mrembo wangu? Ila mimi nimefurahi tu kwamba competitor umejitoa[emoji53][emoji53][emoji53] usinitajie huyo mtu, sitaki kukumbuka alichonitenda. Hata sijui kapotelea wapi labda kajiteka kama.......!
HaswaaKumbe nyie ni mtu na mkwewe!?[emoji848]
Wengine fungate miaka miwiliKuna binti humu ameenda fungate hadi leo sijamuona sijui ndio mahaba yamemzidia au