spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158


:-D

:-DNgoja niombe kibali cha kukuham kwa InnaHata mimi

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.
2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.
3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.
5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.
6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.
7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.
8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.
9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.
10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi
kufunika sufuria.
Kazi ipoNgoja niombe kibali cha kukuham kwa Inna![]()
Ulipo lala leo usirudie kupalala tenaKING MONADA MALWEDHE KHELOBEDU TO ENGLISH LYRICS
Makwela Makwela Monada!!!
Nna rena le malwedhe ( I have a sickness)
Geo okhe Jola lenna, ( if you are dating me)
Okhe raloke kago Nhlala
( Don’t play with breaking up with me)
Nna rena le malwedhe ( I have a sickness)
Wa nhlala odho tsosa Malwedhe ale khole
( if you break up with me, you will bring up hidden sickness from far)
Kena Le Bolwedhe bja go idibala
( I have a sickness of collapsing)
Wa nhlala kea idibala
( If you break up with me, i collapse)
Malwedhe aka akamo maratong.
( My sickness is rooted in love relationships or comes from love relationships)
Wa jola Kea idibala. ( if you cheat, I collapse)
Wa njolela Kea idibala.
( if you cheat on me, I collapse)
Lege okha mphe tshelete, kea idibala
( even if you don’t give me money, I collapse)
Ge okha dize, kea idibala
( if you don’t give me money, I collapse)
Dedication kwa MO11 SHIMBA YA BUYENZE lucas mobutu Mwanyasi Nleterewa Nganengo Kichwa Kichafu na yeyote anayedhani ananipenda
Hapana chezea akili za usiku!
Ulipo lala leo usirudie kupalala tena
Hapana wine nimeachana nayo nimeokoka , huoni nilivyompole siku hizi?Kwakweli, tena ukute umetupia na tu wine mdomoni kwanini usiwe mkongo kwa muda

Kwanini tena myantuzu wangu?![]()
Kwakweli, tena ukute umetupia na tu wine mdomoni kwanini usiwe mkongo kwa muda
Hapana chezea akili za usiku!
Ulipo lala leo usirudie kupalala tena
Safi Sana, mmeanza vzr ,nawaaminia,mie niko kwa pembeni ya kibanda huku nawasikilizaUmewaza nn kuandika haya lakini
Halafu ujue nakupendaga sana wewe ila nakuogopa,yaani kila nikiwaza namna ya kukuingia nashindwa!Safi Sana, mmeanza vzr ,nawaaminia,mie niko kwa pembeni ya kibanda huku nawasikiliza

Maana leo sikuelewi kabisa style ulokuja nayoKwanini tena myantuzu wangu?![]()
Shehe kwema?Kazi ipo
Safi Sana, mmeanza vzr ,nawaaminia,mie niko kwa pembeni ya kibanda huku nawasikiliza
Unaanzaje kwanza kuiachaHapana wine nimeachana nayo nimeokoka , huoni nilivyompole siku hizi?![]()
Maana leo sikuelewi kabisa style ulokuja nayo
Kunani tenaSafi Sana, mmeanza vzr ,nawaaminia,mie niko kwa pembeni ya kibanda huku nawasikiliza
Mkwee unafanya gani hapa usiku wote huuWasikilize tu aisee!
Hivi @Samaritan yuko wapi etiHalafu ujue nakupendaga sana wewe ila nakuogopa,yaani kila nikiwaza namna ya kukuingia nashindwa!![]()
Mkwee unafanya gani hapa usiku wote huu