Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Hahahahaha ha ha ha ha ha....hapo ndipo umuhimu wa kujiajiri unapooneka
Hahahahaha ha ha ha ha ha....hapo ndipo umuhimu wa kujiajiri unapooneka
Niko na wewe
Mie vyombo sijafundishwa bibie bbade ,ni ratiba ya kila sikualiyekufundisha kupiga Vyombo kazini
Namaanisha mtoto wa kike,uko na mimi wapi ?
Kula vyombo mkuuMasaa hayaendi kabisa leo, au kuna mkono wa mtu
Una uhakika mimi ni wa Kike?
Nawakimbia sasa hivi
Inasaidia kusindikiza lindo....ili tusiogope mambo ya usiku;unawezakuona kivuli kinatembea...ukakimbia na kuacha lindo waziNyagi sio mchezo
Nimewahi kuzitumia mara 3 tu
Ukiamka asubuhi umechokaa afu siku nzima upo upo tu
Na inalewesha sana in less than 3 hours
HahahahaNyagi sio mchezo
Nimewahi kuzitumia mara 3 tu
Ukiamka asubuhi umechokaa afu siku nzima upo upo tu
Na inalewesha sana in less than 3 hours
Situmiagi mkuuKula vyombo mkuu
Hahahaha, yanini hongera hii ? Muhimu tuimalishe lindoAisee hongera sana...
Hata ukiingia umevaa bukta,hakuna wa kukuuliza....Hahahaha
Hahahaha, yanini hongera hii ? Muhimu tuimalishe lindo
Bukta,truck suti sawa tu ,we unaingia na laptop yako ,meeting kdg unaendelea na yakoHata ukiingia umevaa bukta,hakuna wa kukuuliza....
Hao watumishi wa uma ,au waajiriwa waache wakatumike kesho ,wawahi mshaharaWengine ndio wanasinzia, ndio maana nimekupa Hongera
Bora hukuHahahaha
Safi sana,vyombo vinasaidia sana kwenye lindo pamoja na uwezo wa kufikiriBukta,truck suti sawa tu ,we unaingia na laptop yako ,meeting kdg unaendelea na yako
Wakichelewa kusaini inabidi watoe maelezo...Hao watumishi wa uma ,au waajiriwa waache wakatumike kesho ,wawahi mshahara
Wakati wao wamelala wewe unawatafakari muda huu wa lindo ,huku unapata vyombo ,ukifika asubuhi una ratiba na mipango yoteSafi sana,vyombo vinasaidia sana kwenye lindo pamoja na uwezo wa kufikiri